MAHUSIANO
MAHUSIANO
Fahamu Faida za Kushiriki Mapenzi Mara kwa Mara na Mwezi Wako...!!!
MAHUSIANO Unataka Mapenzi Moto Moto Kitandani. KUNYWA UJI!
MAHABA Mapenzi Ya Mtoto wa Kitanga Yampagawisha, Aitelekeza Familia Yake...!!!
MAHUSIANO Wajue Wanaume wa Kiafrika na Hulka Zao Katika Maisha...!!!
MAHUSIANO Wapenzi Watiwa Mbaroni kwa Kufanya Mapenzi Kabla ya Ndoa...!!!!
Utafiti..Matajiri Hushiriki Mapenzi Vyema Zaidi Kuliko Maskini..!!!
Mahusiano, Mapenzi Raha
Kauli ya mhariri: Ngono ni kama pesa, gofu au pombe aina ya whisky. Hata inapokuwa mbaya, ni nzuri. Kulingana na utafiti uliofanywa majuzi, pesa nyingi zinakusaidia kuwa na maisha mema ki mapenzi. Ian Isherwood anatoa sababu tano ambazo zitakufanya kufikiria mara mbili kuhusiana na wasichana wanaofanya ngono ya kulipwa kulingana na utafiti uliofanywa.
1. Huwa hawajali
Usemi kuwa pesa haziwezi kununua furaha hutumiwa na watu walio na pesa kuwafanya wenzao kutojihurumia kwa kukosa pesa. Hii ni kwa sababu matajiri hawana shinikizo yoyote maishani kifedha.
Ukweli ni kuwa, ikiwa una shinikizo, hauwezi kupata ngono ya kuridhisha kwa sababu shinikizo huua matamanio ya kufanya ngono. Hii ni kufikiria kuhusiana na masuala kadhaa yanayokuathiri kutokana na ukosefu wa fedha.
2. Wanaume walio na pesa huwa wazuri zaidi kitandani
Wanawake wengi hawawezi kubeba mimba ikiwa hawana uhakika kama mtoto atatunzwa vyema, hivyo mwanamke kama huyo akipatana na mwanamume tajiri, kazi nyingi huwa kitandani na huwa hana hofu yoyote akishiriki ngono na mwanamume wa aina hiyo. Ikiwa mwanamke hana hofu, kuna uwezo zaidi wa kufikia kilele mara nyingi. Hivyo wasichana hukimbiza sio pesa pekee bali pia kuridhika!
3. Pesa zinaweza kununua mapenzi
Watu wengi matajiri wamegundua kuwa pesa zinaweza kuwapa uwezo wa kuwa na ujasiri. Ukichanganya hayo pamoja, matokeo yatakuwa ngono yenye kuridhisha. Huwa na pesa za kununua nguo na kujimwaya hivyo, hujiamini, hata kitandani!
4. Afya yako, mali yako
Matajiri huwa wanakula vyema kwa sababu wana pesa za kununua chakula. Huwa pia wanafanya mazoezi mara kwa mara kuhakikisha kuwa wamesalia wenye afya. Ukiwa na afya nzuri, ina maanisha kuwa una uwezo mkubwa wa kufanya vyema kitandani.
5. Wana wakati mwingi wa kutembea
Watu ambao ni matajiri huwa mara nyingi na uwezo wa kukubali kufanya mambo yaliyo hatari. Kutokana na utafiti, kufanya hivyo kunaweza kuimarisha hamu ya kushiriki ngono. Hii ni kutokana na kuwa watajaribu mitindo mipya kitandani.
Comments
Post a Comment