Posts

Showing posts from April 9, 2017

Tupac atoa filamu

Kifupi cha maelezo ya filamu kuhusu maisha ya Tupac imetolewa 11 Aprili 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaMshirikishe mwenzako Haki miliki ya pichaCODEBLACK FILMS Image caption Demetrius Shipp Jr. ameigiza kama Tupac Shakur. 'All Eyez On Me' ni filamu ya muigo wa maisha ya msanii huyo ikieleza hadithi ya alivyopanda ngazi hadi akawa mtu maarufu na hali tata iliyomzingira alipokuwa juu. Pia itaangazia kifo chake ambacho kilitanda kote ulimwenguni. Aliuza mamilioni ya rekodi dunia nzima, na siku ya Ijumaa akawa rapa wa sita kuingizwa kwa ''Rock and Roll Hall of Fame'' (wasanii waliovuma) Demetrius Shipp Jr. ndiye atakayemuigiza Tupac katika filamu na ni mchezo wake wa kwanza mkubwa. Image caption Msanii Tupac Shakur alifariki Septemba mwaka wa 1996 mjini Las Vegas baada ya kupigwa risasi mara nne. Danai Gurira, kutoka filamu ya the Walking Dead, pia atacheza kama mamake Tupac. Kipande kifupi cha maelezo y...

Breaking News: ROMA Afunguka Tukio la Kutekwa na Kupelekwa Kusikojulikana

Image