Posts

Showing posts from June 4, 2017
Fahamu jinsi Damu ya Hedhi ya Mwanamke Ilivyo na Nguvu Katika Imani za Kishirikina..!!!  hedhi, Makala ya Leo Nitangulie kuomba radhi kwa wale watakaokereka na hii mada..Nina heshima kubwa kwa akina mama wote na privacy yao..naomba tuichukulie hii kwa muktadha wa maarifa, elimu na ufunuo wa dunia ya upande wa imani Makuzi yetu yametulea kutufundisha kwamba damu husika ni uchafu na jambo la Siri sana... Wahusika kwenye hili hufanya ni jambo la siri huku wengine wakijichukia kabisa Kwa dhima ya udugu wa kishetani damu ya hedhi ni kitu cha thamani kubwa kwakuwa imebeba uhai nguvu na kiwakilishi cha maisha marefu, ikijulikana kama nyota ya moto kiashiria cha mungu mwezi...kwenye ibada za kishetani alama nyekundu ni kiwakilishi cha hiyo damu na hata wale ANNUNAKI(malaika walioanguka) wanaichukulia kama dhahabu ya miungu kwa imani yao Hedhi mzunguko wake unatawaliwa na mizunguko ya mwezi na kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya damu ya hedhi mzunguko wa mwezi na mwanamke! K...

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano na vyuo Mwaka 2017

AWAMAU YA KWANZA   BOFYA HAPA AWAMU YA PILI  BOFYA HAPA

Form Five selection 2017/2018 ( waliochaguliwa kujiunga jkidato cha tano)

Image
BREAKING NEWS: Form Five selection 2017/2018 BREAKING NEWS: Form Five selection 2017/2018 Form Five selection 2017/2018 CLICK HERE Form Five selection 2017/2018 CLICK HERE

Bajeti kuu ya 2017/2018

Leo Ndiyo Leo..Macho na Masikio Yote Dodoma Bungeni Ambapo Bajeti ya Trilioni 32 Itakavyotabiri Hali ya Maisha kwa Watanzania..!!  Bungeni NCHI za Afrika Mashariki ikiwamo Tanzania zinawasilisha bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwasilisha bajeti hiyo bungeni leo mjini hapa kuanzia saa 10 kamili jioni. Kabla ya kufanya hivyo, asubuhi Dk Mpango atawasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi ya nchi, ambayo itajikita katika kueleza mipango ya maendeleo kwa mwaka ujao. Kwa mujibu wa ratiba ya Bunge la Tanzania katika Mkutano wake wa Saba wa Bunge la Bajeti, wabunge watatumia kesho kusoma na kutafakari hotuba hiyo. Kuanzia Jumatatu ijayo Juni 12 hadi Juni 20, mwaka huu, wabunge watajadili Taarifa ya Hali ya Uchumi na Bajeti ya Serikali kwa siku saba kabla ya jioni ya Juni 20, mjadala kuhitimishwa kwa upigaji kura ya wazi. Machi 29, mwaka huu, Dk Mpango alisoma bungeni mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwa...

Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini.

Image

Joti TV Episode 55 Engineer Kiboga

Image

Joti TV Episode 54 Cassa va Bien

Image

Mgambo wa Pili Apigwa Risasi Kisogoni Akivuna Ufuta Rufiji..!!!

Image
Mgambo wa Pili Apigwa Risasi Kisogoni Akivuna Ufuta Rufiji..!!!   kibiti Askari Mgambo, Nurdin Kisinga (33) Mkazi wa Kijiji cha Umwe Kaskazini Ikwiriri, wilayani Rufiji mkoani Pwani amelazwa katika Hospital ya Mchukwi baada ya kupigwa risasi ya kisongoni. Huyu ni mgambo pili kipigwa risasi ndani ya siku mbili baada ya Erick Mwarabu kuuawa juzi saa tisa usiku akiwa uvunguni mwa kitanda chake. Tukio la leo Jumatano limetokea katika eneo la Ngomboloni lililopo katika Kijiji cha Umwe Kaskazini ikiwa ni takribani saa 19 tangu Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP), Simon Sirro kufanya mkutano wa mazungumzo na wazee wa wilaya za Kibiti na Rufiji ili kukomesha mauaji katika wilaya hizo. Akielezea jinsi tukio hilo lilivyotokea, kaka wa majeruhi aliyejitambulisha kwa jina la Kisinga Athumani Kisinga akiwa katika Hospitali ya Mchukwi alisema ndugu yake alipigwa risasi akiwa shambani kwake. Alisema Nurdin alikuwa akivuna ufuta wake shambani kwake ndipo watu ambao hawajajul...