Chama cha ANC chaamua Zuma ni lazima aondoke
Chama tawala Afrika kusini African National Congress (ANC) kimemuomba rasmi rais Jacob Zuma ajiuzulu baada ya yeye kukataa kufanya hivyo mapema hii leo, taarifa zinasema.
Taarifa kuhusu uamuzi huo umefuata mfululizo wa mazungumz ya maafisa wa juu wa chama hicho yalioendelea usiku kucha hadi kuamkia Jumanne alfajiri.
Iwapo Bwana Zuma, mwenye umri wa miaka 75, hatoteteleka, atakabiliwana kura ya kutokuwa na imani naye bungeni ambayo anatarajiwa kushindwa.
Akiwa amehudumu madarakani tangu 2009, ameandamwa kwa tuhuma za rushwa.
Chama cha ANC hakijathibitisha rasmi mipango yake lakini duru kutoka cham hicho zimetoa ufafanuzi katika vyombo vya habari nchini Afrika kusini na pia kwa shirika la habara la kimataifa la Reuters.
Rais Zuma amekiuka shinikizo linaloongezeka la kumtaka ajiuzulu tangu Desemba wakati Cyril Ramaphosa alipoichukua nafasi yake kama kiongozi wa chama cha ANC.
Katibu mkuu wa ANC Ace Magashule ameiwasilisha barua kwa kiongozi huyo anayepigwa vita nyumbani kwake katika mji mkuu Pretoria, na kumuarifu rasmi kuhusu uamuzi wa chama hicho wa kumtaka aondoke katika mkutano na kamati ya kitaifa ya utendaji (NEC), taarifa zinasema.
Haki miliki ya pichaREUTERS
Image caption
Imebainika kuwa mrithi wake Zuma atakuwa Cyril Ramaphosa kwasababu ndiye rais wa chama cha ANC.
Kimsingi rais Zuma amekubali kuondoka lakini anataka muda wa ilani wa kati ya miezi 3 na 6.
Hakujatolewa muda wa mwisho kwake kuondoka madarakani, lakini imebainika kuwa mrithi wake atakuwa Cyril Ramaphosa kwasababu ndiye rais wa chama cha ANC.

Nilimkuta mke wangu akinidanganya baada ya kugundua jumbe kati yake na mpenzi wake wa zamani kwenye simu yake. Nilihuzunika sana kwa sababu sikuweza kuelewa nilichofanya ili kustahili hilo. Nilipomkabili kuhusu hilo, alikasirika na kusema alitaka talaka.
ReplyDeleteNilimpenda sana, na sikuweza kuvumilia wazo la kumpoteza mke wangu na watoto kwa mwanaume mwingine. Kisha nikajulishwa kwa mtu aliyedai kusaidia kufufua mapenzi katika ndoa zenye matatizo.
Saa chache baada ya Dkt. Dawn kusema amekamilisha uchawi, mke wangu alinipigia simu nilipokuwa kazini, akiniomba nimsamehe na kusema anaomba msamaha kwa kutaka kuondoka kwenye ndoa yetu.
Nilishtuka kabisa. Machozi yalinitoka mara moja kwa sababu niliamini kweli kwamba nilikuwa nimepoteza familia ambayo nilikuwa nimejitahidi sana kuijenga.
Ikiwa unapitia matatizo ya uhusiano na unahitaji msaada, unaweza kuwasiliana na Dkt. Dawn kupitia WhatsApp: ( +2349046229159 ). dawnacuna314@gmail.com
kwa suluhisho la haraka na lenye nguvu.
Huduma zinazotolewa:
• Uchawi wa mapenzi
• Kurejesha upendo na furaha katika mahusiano na ndoa
• Kuvutia mpenzi mpya
• Usomaji wa mahusiano
• Tambiko za bahati nasibu
• Kurejesha mali iliyoibiwa
• Mwongozo wa hatua kwa hatua kwa masuala na changamoto za kibinafsi