Mchungaji Awalambisha Viatu Waumini Wake Ili Wapate Baraka za Miujiza
Mchungaji mmoja kutoka Nigeria (39), Andrew Ejimadu wa kanisa la Christ Freedom Ministries amezua gumzo mtandaoni baada ya ku-post picha zake katika mtandao wa Facebook wakati wa kuabudu mitandaoni.
Nabii huyo ameshangaza maelfu ya watu baada ya kuonyesha picha za waumini wa kanisa lake wakibusu na kulamba viatu vyake akidai kuwa kwa kufanya hivyo watapata baraka na miujiza.
Nabii huyo aliweka picha hizo katika ukurasa wake na kuandika.“Nimebariki miguu yako, nimeosha nyayo zako.”
“Kitu cha kwanza kesho asubuhi, ikiwa utaandika Amen na ushirikishe ujumbe huu, kuna mtu atakupigia simu na miguu yako itakubeba hadi huko kuchukua zawadi maalum. Watu wengi watakosa hilo, jaribu,” Andrew Ejimadu.
Mwaka 2016, Mchungaji Ejimadu alipamba vichwa vya habari na kushikiliwa na polisi nchini Zambia yeye na kaka yake, Cleopasa Ejimadu kwa kosa la kumbaka binti mdogo mwenye umri wa miaka 14 ambaye alikwenda kwenye makazi yao kwa ajili ya uponyaji na kupata ushauri wa kiroho

Nilimkuta mke wangu akinidanganya baada ya kugundua jumbe kati yake na mpenzi wake wa zamani kwenye simu yake. Nilihuzunika sana kwa sababu sikuweza kuelewa nilichofanya ili kustahili hilo. Nilipomkabili kuhusu hilo, alikasirika na kusema alitaka talaka.
ReplyDeleteNilimpenda sana, na sikuweza kuvumilia wazo la kumpoteza mke wangu na watoto kwa mwanaume mwingine. Kisha nikajulishwa kwa mtu aliyedai kusaidia kufufua mapenzi katika ndoa zenye matatizo.
Saa chache baada ya Dkt. Dawn kusema amekamilisha uchawi, mke wangu alinipigia simu nilipokuwa kazini, akiniomba nimsamehe na kusema anaomba msamaha kwa kutaka kuondoka kwenye ndoa yetu.
Nilishtuka kabisa. Machozi yalinitoka mara moja kwa sababu niliamini kweli kwamba nilikuwa nimepoteza familia ambayo nilikuwa nimejitahidi sana kuijenga.
Ikiwa unapitia matatizo ya uhusiano na unahitaji msaada, unaweza kuwasiliana na Dkt. Dawn kupitia WhatsApp: ( +2349046229159 ). dawnacuna314@gmail.com
kwa suluhisho la haraka na lenye nguvu.
Huduma zinazotolewa:
• Uchawi wa mapenzi
• Kurejesha upendo na furaha katika mahusiano na ndoa
• Kuvutia mpenzi mpya
• Usomaji wa mahusiano
• Tambiko za bahati nasibu
• Kurejesha mali iliyoibiwa
• Mwongozo wa hatua kwa hatua kwa masuala na changamoto za kibinafsi