Uhalifu wa kimitandao unaweza kuangamizwa kwa njia gani Tanzania?



 Tunaangazia zaidi uhalifu unaotekelezwa kwa kutumia simu za mkononi au rununu na mtandao.
Polisi wanasema mwaka jana, makosa yaliyoripotiwa kwa polisi Tanzania ni zaidi ya 8,000.
Je, uhalifu huu unaweza kuangamizwa?

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU