Rufaa ya kutaka kuongezwa miaka ya kifungo cha Oscar Pistorius yakatwa upya

Waendesha mashtaka wa Afrika Kusini, wamekataa rufaa mpya wakitaka kuwepo hukumu kali zaidi kwa Oscar Pistorius.


Mwanariadha huyo mlemavu, alihukumiwa kifungo cha miaka sita kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp nyumbani kwake kwenye Valentine’s Day, 2013.
Mwanzo kabisa alitumikia kifungo cha mwaka mmoja kati ya miaka mitano aliyokuwa amehukumiwa kwa kuua bila kukusudia, kabla ya hukumu kubadilishwa kuwa ya mauaji.
Waendesha mashtaka wa South Africa’s National Prosecuting Authority (NPA) wanataka apewe kifungo kirefu zaidi.
Reeva Steenkamp alikuwa na miaka 29 wakati anakufa.

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU