Hatuna mpango wa kufanya video ya Hands Up ya Young Dee – MDB
Hakuna mpango wowote uliopo wa kufanyika video ya wimbo Hands Up ya Young Dee, kwa mujibu wa CEO wa Millian Dollar Boyz, Max Ryoba
Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Max alisema badala yake itafanyika video ya wimbo mwingine kabisa.
Amedai kuwa rapper huyo anaendelea kurekodi nyimbo huku pia msisitizo ukiwa katika kuangalia anaboresha afya yake kwa kula vizuri na kufanya mazoezi ya kutosha
Comments
Post a Comment