NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Inasemekana kuwa, au  kwa uelewa wangu  mdogo kuwa Binti kigoli ni mwanamke ambae bado  hajamjua mme au hajafikia umri  wa mtu kufanya mapenzi.
Wengine pia hujiita kigoli hata wanapokuwa hawajamjua mwaname hata baada ya kuwa wamefikisa umri huo.

Msikie huyu.



Mimi ni Msichana wa Miaka 26 ..uwezi amini mpaka sasa sijawahi guswa na Mwanaume hata mmoja kwa maana hiyo nipo Bikira Kabisa...

Mimi ni Mwalimu wa Shule ya Msingi moja hapa Dar ..Wenzangu nikiwaambia hawaamini kabisa kuwa mpaka umri huu nipo Kigoli
 wengine wanasema eti nina matatizo..



NAPENDA KUSEMA HAYA

"With the influence of sex almost everywhere in the world of today I will still remain a virgin until my wedding night. It is the only respect I can reward my body. And this way I cannot worry about sexual transmitted diseases and unwanted pregnancies.

I believe that I am not abnormal as others may think. I am physically and mentally fit. I am just keeping myself clean."Jesca. 

Comments

Popular posts from this blog

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU