Matokeo ya uchaguzi Japan
Matokeo ya Uchaguzi uliofanyika jana Japan yanaonesha kuwa serikali ya Muungano inayoongozwa na Waziri mkuu Shinzo Abe, imeshinda
Ushindi huo unampa uwezo kiongozi huyo kuweza kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo, iwapo ataamua kufaya hivyo.
Amekuwa akionesha dalili za kutaka Japan kujishughulisha zaidi na masuala ya kijeshi, wakati ambapo taifa la Uchina likiendelea kujijenga kuwa taifa lenye nguvu katika eneo hilo.
Hata hivyo, Waziri huyo mkuu wa Japan ameonesha kuwa hata harakisha katika masuala ya kurekebisha katiba. Awali wakati wa kampeni zake alipigia upatu sera ya uchumi
Comments
Post a Comment