Taylor Swift aliandika wimbo wa Rihanna na Calvin Harris kwa kujiita ‘Nils Sjoberg

Rihanna na Calvin Harris aliyekuwa boyfriend wa Taylor Swift, wana wimbo mpya unaofanya vizuri kwa sasa, This Is What You Came For.
Taylor w
Awali ilielezwa kuwa wimbo huo uliandikwa na mtu aitwaye Nils Sjoberg na sasa imebainika kuwa Nils ni jina la kutunga tu kwakuwa mwandishi wa wimbo huo ni Taylor Swift.
Imedaiwa kuwa wakati wa uhusiano wao, Harris na Swift waliandika wimbo huo na kuamua wasiutoe. Badala yake, Swift alimuambia Calvin amuombe Rihanna aurekodi lakini asitajwe kama ni yeye ameandika bali watumie jina la Nils Sjoberg.
Msemaji wa Swift amethibitisha taarifa hizo kwa kutoa maelezo mafupi: Taylor Swift wrote This Is What You Came For under the pseudonym Nils Sjoberg.”

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU