Post ya Mama yake Diamond Platnumz Kuhusu Wema Sepetu

Jana Jumapili Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz amempost Wema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz kwenye page yake ya Instagram na Kuandika yafuatayo:

kendrah_michael
Uzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee


Baada ya mama Diamond kupost alifuatia Romy Jons ambaye ni kaka yake na Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza kuhisi.

Picha aliyopost Rommy Jons

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU