NI NINI MAANA YA MAPENZI!
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anana vyoona.
Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi ikiwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.
MSINGI HASA WA MAPENZI

1-UVUMILIVU
2-HEKIMA
3-BUSARA
4-UPENDO
5-UWAZI
6-HESHIMA
1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.
2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.

Comments
Post a Comment