Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi

Akothee ni msanii mwenye watoto watano lakini bado ameonekana kuwa mrembo huku akidaiwa kuwa na mimba nyingine kwa sasa.

Mtu
Muimbaji huyo kutoka nchini Kenya ameonekana kuanza kuwapiga bao wasanii wengine kutoka nchi hiyo kutokana na juhudi anazozifanya kwenye muziki wake huku akiwa tayari ameshafanya collabo na mastaa wawili wakubwa Afrika, Diamond na Mr Flavour.Aidha Akothee aka Madam Boss ni mmoja kati ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na biashara zake anazofanya ikiwemo ya kilimo na usafirishaj

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU