Joe Budden aachia diss ya nne kwa Drake, ni baada ya kumkejeli kwenye ziara yake
Bifu ya Drake na Joe Budden inaendelea kupamba moto.
Alhamis hii Drake alimjibu kwa kejeli Budden kwenye ziara yake ya Summer Sixteen Tour. Alikuwa akitumbuiza huko Dallas.
“We got that good energy going on,” alisema wakati wa show hiyo. “I should’ve brought Joe Budden up here to let him do ‘Pump It Up’ one time… F**k them ni**as, man.”
Kufuatia maneno hayo ya Drake, Joe alitweet; HE WANT ATTENTION LOL.”
Baada ya kuwa ameshaachia ngoma tatu za kumdiss Drake ‘Making a Murderer Pt. 1’, Wake na Afraidm, rapper huyo amedondosha diss nyingine aliyoipa jina, Just Because.
Isikilize hapo chini.
Comments
Post a Comment