Mji wa Aleppo washambuliwa tena


Hospitali hiyo pia ilishambuliwa mapema wiki jana.Image copyrightREUTERS
Image captionHospitali hiyo pia ilishambuliwa mapema wiki jana.
Mashambulizi ya angani yanayoendelea katika mji unaoshikiliwa na waasi wa Allepo nchini Syria, yamegonga hospitali.
Kundi la Syrian American Medical Society, linalofadhili hospitali hiyo linasema kwamba hospitali hiyo ilishambuliwa kwa makombora mawili.
Hospitali hiyo pia ilishambuliwa mapema wiki jana.
Ripoti zinaibuka kwamba vikosi vinavyoungwa mkono na Urusi pamoja na vikosi vya Syria vinashambulia mji wa kale wa Allepo, na kukabiliana na waasi katika mitaa mbalimbali.
Mji wa Aleppo umekumbwa na uharibifu mkubwaImage copyrightREUTERS
Image captionMji wa Aleppo umekumbwa na uharibifu mkubwa

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU