Posts

Showing posts from 2017

Mfumo wa sayari unaofanana na wetu wagunduliwa

Shirika la anga za juu la Marekani Nasa limegundua nyota ambayo inazungukwa na sayari nane, sawa na mfumo wetu wa jua ambao una sayari nane. Hiyo ndiyo idadi ya juu zaidi ya sayari kugunduiwa zikiizunguka nyota nje ya mfumo wetu wa sayari. Nyota hiyo iliyopewa jina Kepler-90, ina joto kiasi na ni kubwa kidogo kulishinda Jua. Awali, wataalamu wa anga za juu walikuwa wamefahamu uwepo wa sayari saba pekee zilizokuwa zinaizunguka. Lakini sasa wanasayansi wa Nasa wanasema wamegundua uwepo wa sayari nyingine ndogo iliyojaa mawe.

Mgomo mkubwa wa wafanyakazi unafanyika Afrika kusini

Image
Mgomo mkubwa wa wafanyakazi unafanyika Wafanyakazi wamemiminika katika miji mikubwa Afrika kusini Muungano mkubwa wa vyama vya wafanyakazi Afrika kusini - Cosatu - unafanya mgomo wa kitaifa kupinga rushwa. Kunatarajiwa kuwa na migomo 13 katika miji yote mikuu ikiwemo miji mikubwa kibiashara Johannesburg, Cape Town na Durban. Makundi ya wafanyakazi tayari wameanza kukusanyika. Katibu mkuu wa muungano wa Cosatu, Jumatano aliwaambia waandishi habari kwamba maandamano hayo yatakuwa makubwa kushinda maandamano mengine yote. "Tunatumia mgomo kutuma ujumbe kwa serikali na sekta ya kibinfasi kwamba tumechoka na rushwa katika jamii yetu," ameeleza. Hatua hiyo inaungwa mkono na mshirika mwingine wa chama tawala ANC, chama cha SACP. Inaarifiwa pia kwamba waandamanaji watashinikiza kujiuzulu kwa rais Zuma. Cosatu imekuwa ikimuunga mkono rais Zuma lakini sasa unamuunga mkono naibu rais Cyril Ramaphosa katika kuwania uongozi dhidi ya Nkosazana Dlamini-Zuma, mwenyekiti wa zam...

Hali Halisi ya Tundu Lissu

Hali ya Tundu Lissu

Ukosefu wa umeme wasababisha watu 5 wazee

Ukosefu wa umeme wasababisha watu 5 wazee Watu watano katika makao ya kuwatunza watu wazee ambayo yalibaki bila umeme kwa siku kadhaa baada ya kimbunga Iram wamefariki. Polisi waliondoa karibu watu 120 kutoka makao hayo seo Jumatano baada ya makao hayo kubaki bila vifaa vya huduma za hewa. Meya mmoja alisema kuwa watu watatu walipatikana wakiwa wamekufa katika makao ya Holltwood Hills na wawili walifariki walipofikishwa hospitalini. Watu milioni 10 bado hawana umeme huko Florida, Georgia na Carolina baada ya kimbunga Irma. Kimbunga Irma chaendelea na uharibifu mkubwa huko Caribbean Kwa Picha: Uharibifu wa Kimbunga Irma Caribbean Kimbunga Irma 'kitasababisha uharibifu mkubwa' Marekani Kimbunga Irma chawasili Cuba Irma ambacho kimewaua watu kadha nchini Marekani, kilikumba kusini magharibi mwa Florida siku ya Jumapili asubuhi. Si makao tu ya huko Florida yaliyobaki bila umeme baada ya kimbunga Irma. Zaidi ya nusu ya makao ya watu wazee huko Pembroke Pine, Florida bado...

MATOKEO YA UALIMU GATCE 2017

KUPATA MATOKEO YA UALIMU GATCE - 2017 GUSA HAPA

MATOKEO YA UALIMU 2017 - DSEE

KUPATA MATOKEO YA UALIMU DSEE  2017 BOFYA HAPA

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2017

KUAPATA MATOKEO BOFYA HAP-A BOFYA HAPA

SERIKALI Yaendelea Kumkaba Koo Freeman Mbowe....

Image
Serikali imetoa siku 30 kwa wawekezaji 50 waliopewa maeneo ya kujenga viwanda na kushindwa kuvijenga, kuwasilisha mipango ya ujenzi vinginevyo watanyang’anywa. Serikali imetoa orodha ya watu hao na taasisi zilizopewa maeneo katika eneo la Weruweru karibu na kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools, akiwamo mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe. Katika orodha hiyo, Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa Taifa wa Chadema anaonekana kumiliki viwanja viwili; kimoja kikiwa na ukubwa wa hekta 1.88 na kingine na hekta 2.17. Akizungumzia uamuzi huo mpya wa Serikali na sababu za kushindwa kuendeleza eneo hilo kwa miaka 13 tangu yeye na wenzake walipomilikishwa mwaka 2004, Mbowe alisema alikuwa hajapata taarifa hizo, lakini kwa vile yuko njiani kuelekea mkoani Kilimanjaro akifika atafuatilia. Ataja sababu Mwanasiasa huyo alisema Serikali inapaswa kulaumiwa kwa kutofikisha miundombinu muhimu katika eneo hilo ikiwamo umeme na badala kutarajia wawekezaji wabebe gharama hizo. Aliongeza kuwa ni vigumu waw...

Sheria Mpya za Madini Mfupa mgumu kwa wawekezaji

Image
Wakati Serikali ikiendelea kutafuta njia za kudhibiti kikamilifu rasilimali za nchi baada ya kupitisha sheria mpya ya maboresho ya Sheria ya Madini iliyopendekeza mambo kadhaa, wawekezaji katika sekta hiyo wameanza kutishika na kuanza kujiondoa. Baada ya kupitishwa kwa sheria hiyo, tayari mwekezaji mmoja kutoka Australia, Ian Middlemas kupitia kampuni yake ya Cradle Resources, amekosa dili la dola 55 milioni za Marekani (Sh121 bilioni) kupitia mradi wa uchimbaji wa madini ya niobium Panda Hill, uliopo nchini. Kufuatia hatua hiyo, wataalamu kadhaa wa masuala ya uchumi wamesema ni lazima sheria hizo zitakuwa zimewashtua wawekezaji. Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya Utafiti wa Kupunguza Umaskini (Repoa), Dk Abel Kinyondo alisema watakimbia kwa muda mfupi tu. Profesa Haji Semboja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisema kutaibuka baadhi ya kampuni ambazo zitafanya hivyo ili kutishia Serikali ili ichanganyikiwe na kubadilisha uamuzi wake

Mdee Kusota Lupango mpaka Juma Tatu

Image
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam Halima Mdee alikamatwa na jeshi la polisi hivi karibuni, kwa kile kinachodaiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kuwa alitoa maneo ya uchochezi yenye kumtusi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika hotuba yake aliyoitoa kwa waandishi wa Habari Julai 4. Ambapo Mkuu wa Wilaya kwa mujibu wa sheria aliagiza Mbunge huyo ashikiliwe na ahojiwe kwa masaa 48 yaliyotajwa kisheria na kumpa mamlaka Mkuu wa Wilaya kufanya hivyo. Siku ambayo Mbunge huyo inabidi aachiwe na Jeshi la Polisi imeangukia kwenye sikukuu ya Saba Saba, jambo ambalo linapelekea Mbunge huyo kuendelea kusota rumande mpaka siku ya Jumatatu.
Fahamu jinsi Damu ya Hedhi ya Mwanamke Ilivyo na Nguvu Katika Imani za Kishirikina..!!!  hedhi, Makala ya Leo Nitangulie kuomba radhi kwa wale watakaokereka na hii mada..Nina heshima kubwa kwa akina mama wote na privacy yao..naomba tuichukulie hii kwa muktadha wa maarifa, elimu na ufunuo wa dunia ya upande wa imani Makuzi yetu yametulea kutufundisha kwamba damu husika ni uchafu na jambo la Siri sana... Wahusika kwenye hili hufanya ni jambo la siri huku wengine wakijichukia kabisa Kwa dhima ya udugu wa kishetani damu ya hedhi ni kitu cha thamani kubwa kwakuwa imebeba uhai nguvu na kiwakilishi cha maisha marefu, ikijulikana kama nyota ya moto kiashiria cha mungu mwezi...kwenye ibada za kishetani alama nyekundu ni kiwakilishi cha hiyo damu na hata wale ANNUNAKI(malaika walioanguka) wanaichukulia kama dhahabu ya miungu kwa imani yao Hedhi mzunguko wake unatawaliwa na mizunguko ya mwezi na kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya damu ya hedhi mzunguko wa mwezi na mwanamke! K...

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano na vyuo Mwaka 2017

AWAMAU YA KWANZA   BOFYA HAPA AWAMU YA PILI  BOFYA HAPA

Form Five selection 2017/2018 ( waliochaguliwa kujiunga jkidato cha tano)

Image
BREAKING NEWS: Form Five selection 2017/2018 BREAKING NEWS: Form Five selection 2017/2018 Form Five selection 2017/2018 CLICK HERE Form Five selection 2017/2018 CLICK HERE

Bajeti kuu ya 2017/2018

Leo Ndiyo Leo..Macho na Masikio Yote Dodoma Bungeni Ambapo Bajeti ya Trilioni 32 Itakavyotabiri Hali ya Maisha kwa Watanzania..!!  Bungeni NCHI za Afrika Mashariki ikiwamo Tanzania zinawasilisha bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwasilisha bajeti hiyo bungeni leo mjini hapa kuanzia saa 10 kamili jioni. Kabla ya kufanya hivyo, asubuhi Dk Mpango atawasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi ya nchi, ambayo itajikita katika kueleza mipango ya maendeleo kwa mwaka ujao. Kwa mujibu wa ratiba ya Bunge la Tanzania katika Mkutano wake wa Saba wa Bunge la Bajeti, wabunge watatumia kesho kusoma na kutafakari hotuba hiyo. Kuanzia Jumatatu ijayo Juni 12 hadi Juni 20, mwaka huu, wabunge watajadili Taarifa ya Hali ya Uchumi na Bajeti ya Serikali kwa siku saba kabla ya jioni ya Juni 20, mjadala kuhitimishwa kwa upigaji kura ya wazi. Machi 29, mwaka huu, Dk Mpango alisoma bungeni mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwa...

Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini.

Image

Joti TV Episode 55 Engineer Kiboga

Image

Joti TV Episode 54 Cassa va Bien

Image

Mgambo wa Pili Apigwa Risasi Kisogoni Akivuna Ufuta Rufiji..!!!

Image
Mgambo wa Pili Apigwa Risasi Kisogoni Akivuna Ufuta Rufiji..!!!   kibiti Askari Mgambo, Nurdin Kisinga (33) Mkazi wa Kijiji cha Umwe Kaskazini Ikwiriri, wilayani Rufiji mkoani Pwani amelazwa katika Hospital ya Mchukwi baada ya kupigwa risasi ya kisongoni. Huyu ni mgambo pili kipigwa risasi ndani ya siku mbili baada ya Erick Mwarabu kuuawa juzi saa tisa usiku akiwa uvunguni mwa kitanda chake. Tukio la leo Jumatano limetokea katika eneo la Ngomboloni lililopo katika Kijiji cha Umwe Kaskazini ikiwa ni takribani saa 19 tangu Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP), Simon Sirro kufanya mkutano wa mazungumzo na wazee wa wilaya za Kibiti na Rufiji ili kukomesha mauaji katika wilaya hizo. Akielezea jinsi tukio hilo lilivyotokea, kaka wa majeruhi aliyejitambulisha kwa jina la Kisinga Athumani Kisinga akiwa katika Hospitali ya Mchukwi alisema ndugu yake alipigwa risasi akiwa shambani kwake. Alisema Nurdin alikuwa akivuna ufuta wake shambani kwake ndipo watu ambao hawajajul...

UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Image
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Sheria hii inazitaka Taasisi zote zinazotoa elimu ya ufundi kusajiliwa kabla ya kuanza kuendesha mafunzo yoyote. Baraza pia huidhinisha mitaala kabla haijaanza kutumika. Hivyo taasisi zote haziruhusiwi kuanza kutoa mafunzo yoyote bila kibali maalumu kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE). Baraza linapenda kuwataarifu wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Umma kwa ujumla kuwa  udahili na uchaguzi  wa wanafunzi kwa ajili ya masomo ya Astashahada na Stashahada mbalimbali yanayotolewa na vyuo vyote hapa nchini,  utafanyika moja kwa moja vyuoni , isipokuwa kozi za afya ...

Bibi Harusi Apewatalaka Saa Chache Baada ya Ndoa kwa Kuchat Usiku Mzima

Image
Matumizi ya simu za mkononi hupelekea mtu unayekuwa karibu naye kimwili kuwa  mbali nawe kiakili na mawazo ambayo ameyaelekeza kwa mtu anayewasiliana naye muda huo. Balaa zaidi ni ‘kuchat’ ambapo mtumiaji wa simu hupelekea hisia zake zote kwenye vidole vinavyoandika huku akimuacha aliyenaye akiwa mpweke. Hii imemgharimu bibi harusi aliyekesha akipokea salamu za pongezi kwenye simu na kumsahau mumewe. Fuatilia kisa hiki…! Mwanaume mmoja ameamua kumtalakisha mkewe saa chache baada ya kufunga ndoa, kwasababu mkewe huyo mpya alitumia usiku wao wote wa ‘fungate’ kuchat na rafiki zake. Kwa mujibu wa gazeti la Al Watan la Saudi Arabia, bibi harusi huyo alikuwa busy akipokea salamu za pongezi kutoka kwa rafiki yake akimsahau mumewe aliyenaye chumbani muda huo.  “Bwana harusi alijaribu kusogea karibu naye na kimahusiano, lakini alishitushwa kuona mkewe anampotezea, hajibu anachoulizwa au hata kuonesha vitendo,” ndugu wa Bwana harusi aliiambia Al Watan.  “Mwanaume alipomuuli...

Baada ya Simu Kutoka kwa Rais Mwana FA Afunguka Haya

Image
BAADA ya Rais Dk. John Magufuli kumpigia msanii Mwana FA na kupongeza wimbo wake, msanii huyo amesema ameguswa sana baada ya kupokea simu hiyo. Mapema wiki hii, Mwana FA alipigiwa simu na Rais na kumpongeza kwa kufanya vizuri katika nyimbo zake ukiwemo unaotamba ‘Dume Suruali’ na kusisitiza huwa anazisikiliza sana. Mwana FA amesema kuwa baada ya kupokea simu hiyo ameguswa sana na imempa kuzidi kujiamini kwa kazi anazozifanya. “Ukweli simu yake imenigusa sana, unajua unapoona hata viongozi wanapenda kazi zako ujue unakubalika sana, simu yake imenifanya nione bado nina jukumu la kuzidi kufanya kazi nzuri zaidi ya hapa,” alisema Mwana

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu

Image

Tupac atoa filamu

Kifupi cha maelezo ya filamu kuhusu maisha ya Tupac imetolewa 11 Aprili 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaMshirikishe mwenzako Haki miliki ya pichaCODEBLACK FILMS Image caption Demetrius Shipp Jr. ameigiza kama Tupac Shakur. 'All Eyez On Me' ni filamu ya muigo wa maisha ya msanii huyo ikieleza hadithi ya alivyopanda ngazi hadi akawa mtu maarufu na hali tata iliyomzingira alipokuwa juu. Pia itaangazia kifo chake ambacho kilitanda kote ulimwenguni. Aliuza mamilioni ya rekodi dunia nzima, na siku ya Ijumaa akawa rapa wa sita kuingizwa kwa ''Rock and Roll Hall of Fame'' (wasanii waliovuma) Demetrius Shipp Jr. ndiye atakayemuigiza Tupac katika filamu na ni mchezo wake wa kwanza mkubwa. Image caption Msanii Tupac Shakur alifariki Septemba mwaka wa 1996 mjini Las Vegas baada ya kupigwa risasi mara nne. Danai Gurira, kutoka filamu ya the Walking Dead, pia atacheza kama mamake Tupac. Kipande kifupi cha maelezo y...

Breaking News: ROMA Afunguka Tukio la Kutekwa na Kupelekwa Kusikojulikana

Image

ALICHOKISEMA TUNDU LISSU MAHAKAMANI KUHUSU KESI YA URAIS TLS

Image

Kimenukaa Cuf..Prof Lipumba Ampa 'Makavu Live' Maalim Seif ...!!!!

Image
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshutumu Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anawatisha wajumbe wa ngazi mbalimbali za chama hicho. “Kwa muda mrefu tangu Septemba 23, 2016 nimekuwa natoa wito kwa katibu mkuu aje ofisini Buguruni nimpe maelekezo ya ujenzi wa chama chetu. Nimemuandikia memo na kumtumia barua pepe lakini mpaka leo hajafika licha ya kuwa makazi yake yako Mtaa wa Sharif Shamba, Wilaya ya Ilala jirani na ofisi kuu, Buguruni.  “Hivi sasa na mimi nimebaini wazi kuwa katibu mkuu hana nia ya kujenga CUF imara Tanzania Bara. Vitendo vyake ni mwendelezo wa imani na dhamira yake ya kuwapo kwa Muungano wa mkataba kama alivyotoa maoni yake binafsi kwenye Tume ya Jaji Warioba,” amesema Profesa Lipumba. Mgogoro katika chama hicho ulishika kasi mwishoni mwa mwaka jana baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF, wakati alishatangaza kujiuzulu nafasi yake kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 jambo lil...

MAHUSIANO

MAHUSIANO Fahamu Faida za Kushiriki Mapenzi Mara kwa Mara na Mwezi Wako...!!! MAHUSIANO Unataka Mapenzi Moto Moto Kitandani. KUNYWA UJI! MAHABA Mapenzi Ya Mtoto wa Kitanga Yampagawisha, Aitelekeza Familia Yake...!!! MAHUSIANO Wajue Wanaume wa Kiafrika na Hulka Zao Katika Maisha...!!! MAHUSIANO Wapenzi Watiwa Mbaroni kwa Kufanya Mapenzi Kabla ya Ndoa...!!!! Utafiti..Matajiri Hushiriki Mapenzi Vyema Zaidi Kuliko Maskini..!!!  Mahusiano, Mapenzi Raha Kauli ya mhariri: Ngono ni kama pesa, gofu au pombe aina ya whisky. Hata inapokuwa mbaya, ni nzuri. Kulingana na utafiti uliofanywa majuzi, pesa nyingi zinakusaidia kuwa na maisha mema ki mapenzi. Ian Isherwood anatoa sababu tano ambazo zitakufanya kufikiria mara mbili kuhusiana na wasichana wanaofanya ngono ya kulipwa kulingana na utafiti uliofanywa. 1. Huwa hawajali Usemi kuwa pesa haziwezi kununua furaha hutumiwa na watu walio na pesa kuwafanya wenzao kutojihurumia kwa kukosa pesa. Hii ni kwa sababu matajiri hawana shini...

Darassa alivyotamba mwishoni mwa 2016

Image