Posts

Showing posts from 2018

HOW TO USE WHATSAPP IN COMPUTER, HOW TO HACK WHATSAPP

Image

NJIA RAHISI YA KUPANGA NAFASI KATIKA EXCEL, (HOW TO RANK IN EXCEL)

Image
HOW TO RANK IN EXCEL

Mchungaji Awalambisha Viatu Waumini Wake Ili Wapate Baraka za Miujiza

Image
  Mchungaji mmoja kutoka Nigeria (39), Andrew Ejimadu wa kanisa la Christ Freedom Ministries amezua gumzo mtandaoni baada ya ku-post picha zake katika mtandao wa Facebook wakati wa kuabudu mitandaoni. Nabii huyo ameshangaza maelfu ya watu baada ya kuonyesha picha za waumini wa kanisa lake wakibusu na kulamba viatu vyake akidai kuwa kwa kufanya hivyo watapata baraka na miujiza. Nabii huyo aliweka picha hizo katika ukurasa wake na kuandika.“Nimebariki miguu yako, nimeosha nyayo zako.” “Kitu cha kwanza kesho asubuhi, ikiwa utaandika Amen na ushirikishe ujumbe huu, kuna mtu atakupigia simu na miguu yako itakubeba hadi huko kuchukua zawadi maalum. Watu wengi watakosa hilo, jaribu,” Andrew Ejimadu. Mwaka 2016, Mchungaji Ejimadu alipamba vichwa vya habari na kushikiliwa na polisi nchini Zambia yeye na kaka yake, Cleopasa Ejimadu kwa kosa la kumbaka binti mdogo mwenye umri wa miaka 14 ambaye alikwenda kwenye makazi yao kwa ajili ya uponyaji na kupata ushauri wa kiroho

Chama cha ANC chaamua Zuma ni lazima aondoke

Image
Chama tawala Afrika kusini African National Congress (ANC) kimemuomba rasmi rais Jacob Zuma ajiuzulu baada ya yeye kukataa kufanya hivyo mapema hii leo, taarifa zinasema. Taarifa kuhusu uamuzi huo umefuata mfululizo wa mazungumz ya maafisa wa juu wa chama hicho yalioendelea usiku kucha hadi kuamkia Jumanne alfajiri. Iwapo Bwana Zuma, mwenye umri wa miaka 75, hatoteteleka, atakabiliwana kura ya kutokuwa na imani naye bungeni ambayo anatarajiwa kushindwa. Akiwa amehudumu madarakani tangu 2009, ameandamwa kwa tuhuma za rushwa. Chama cha ANC hakijathibitisha rasmi mipango yake lakini duru kutoka cham hicho zimetoa ufafanuzi katika vyombo vya habari nchini Afrika kusini na pia kwa shirika la habara la kimataifa la Reuters. Rais Zuma amekiuka shinikizo linaloongezeka la kumtaka ajiuzulu tangu Desemba wakati Cyril Ramaphosa alipoichukua nafasi yake kama kiongozi wa chama cha ANC. Katibu mkuu wa ANC Ace Magashule ameiwasilisha barua kwa kiongozi huyo anayepigwa vita nyumbani kwake kati...

New Video: Msaga Sumu – Kitu Gani

Image
Msanii wa muziki wa Singeli Bongo, Msaga Sumu ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Kitu Gani’. Itazame hapa.

Makonda Awawashia Moto Wakurugenzi

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewabadilikia Wakurugenzi mbalimbali wa halmashauri za wilaya mbalimbali jijini Dar es Salaam kwa vitendo vyao vya kuwakaiimisha nafasi mbalimbali viongozi ambao hawana uwezo. Makonda amesema hayo leo Februari 10,2018 alipokutana na wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam ili kujibu kero na matatizo mbalimbali yanayowakabili ikiwa ni siku ya mwisho kwa zoezi la kupokea na kuzitafutia ufumbuzi kero hizo. Katika kusikiliza kero hizo baadhi ya watendaji wa Serikali walikuwa wakishindwa kujibu maswali ambayo Mkuu wa Mkoa alikuwa akiwauliza. "Mkurugenzi huyu mmempaje nafasi ya kukaimu, kwa hiyo Mkuu wa Idara anampa mtu ambaye hana uwezo kukaimu idara ili asipate idara si ndiyo maana yake? Maana huyu ndani tunatabia moja Mkuu wa Idara hana uwezo sasa hivyo anampa nafasi mtu ambaye hana uwezo ili yule mwenye uwezo asionekane, sasa huyu hana majibu anafanya nini hapa? Hajui lolote wala hana ripoti yoyote sasa Kukaimu kwake kumeishia kwenye huu...

Yanga Wamuweka Ngoma Kiporo

Image
Suala la mchezaji Donald Ngoma limebaki kiporo tena baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kushindwa kufikia maamuzi pamoja na siku za hivi karibuni kuahidi kulishughulikia. Akiongea leo Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema taarifa ya awali kutoka ofisi ya katibu mkuu wa klabu hiyo Charles Mkwasa, kuwa suala la Ngoma linafanyiwa vikao jambo hilo limeshindwa kukamilika. ''Ukaribu wa michezo na majukumu mengi hapa katikati umefanya kushindikana kufikiwa kwa kile kilichokuwa kimepangwa au kulichotakiwa kujadiliwa kuhusiana na mchezaji huyo'', amesema. Aidha Ten pia ameongeza kuwa majeraha kwa wachezaji hayazuiliki na pia wapo wachezaji waliokaa nje kwa muda mrefu na wakarejea wakasaidia timu zao hivyo Donald yupo ni mchezaji wa Yanga mpaka hapo taarifa nyingine itakapotolewa. Kwa upande wake daktari wa timu hiyo Yanga Dr. Bavu amesema Ngoma ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao bado ni majeruhi. Hivi karibuni Yanga walitoa taarifa kuwa wanasuburi ripoti ya dakata...

Uhalifu wa kimitandao unaweza kuangamizwa kwa njia gani Tanzania?

Image
 Tunaangazia zaidi uhalifu unaotekelezwa kwa kutumia simu za mkononi au rununu na mtandao. Polisi wanasema mwaka jana, makosa yaliyoripotiwa kwa polisi Tanzania ni zaidi ya 8,000. Je, uhalifu huu unaweza kuangamizwa?

Makamu rais wa Marekani agoma kula chakula cha jioni na dada rais wa Korea Kaskazini

Image
Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni ambacho alitakiwa kukaa meza moja na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim Yong-nam. MATANGAZO Taarifa kutoka chombo cha habari cha Yo hap kimesema kuwa Pence alionana kidogo na bwana Kim wakati wakijaribu kukwepana kuonana uso kwa uso. Wakati huo huo, rais wa Korea ya Kusini Moon Jae-in ameshikana mikono na dada yake kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong un katika sherehe za ufumbuzi wa mashindano ya michezo ya Olympiki ya msimu wa baridi. Michezo hiyo inaendelea wakati ambapo kuna mvutano juu ya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini. Pence alimleta Fred Warmbier kama mgeni Korea Kusini, baba wa kijana mdogo wa Marekani aliyekufa baada ya kutolewa gerezani huko Korea Kaskazini. Bwana Pence na Kim Yong-nam walikuwa wenyeji wa rais wa Korea Kusini kabla ya sherehe haijaanza huko Pyeongchang. Lakini Makamu rais wa Marekani alikaa kwenye tafrija hiyo kwa dakika tano tu na kuondoka. Katika ...

Huwa unanawa mikono kwa maji safi?

Image
Haba na Haba inaangalia unawaji wa mikono nchiini Tanzania, Je ni wakati gani unazingatia kunawa mikono na je unanawa na maji salama kiasi gani?