TAZAMA Hapa Video Mpya ya Mr Blue Aliyomshirikisha Alikiba ya Wimbo Unaoitwa Mboga Saba....
Mtu wangu June 25 2016 nina kila sababu ya kukusogezea hii good news kutoka kwa Mr Blue, leo anatualika kuitazama video yake mpya ya Mboga saba aliyomshirikisha Staa kotoka Bongoflevani Alikiba, video ambayo imetayarishwaa chini ya Director kutoka Kwetu Studio, usisahau pia unaweza ukaniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa
https://youtu.be/DFiScEP7NIs
Comments
Post a Comment