Tuzo ya Goal ya mchezaji bora Ligi Kuu bara ikiwa inakaribia kila mchezaji ameteta kuhusu ubora wake ni kwa nini anastahili kutwaa tuzo hiyo
Mshambuliaji wa Yanga aliyefanya vizuri sana msimu uliopita ikiwa ni mara ya kwanza kucheza ligi ya Vodacom.
Ngoma amesema kwa mchango alioutoa kwa Yanga anastaili kubeba tuzo ya Goal, kwasababu amekuwa ameweza kuifanyia mambo makubwa timu yake ikiwemo kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF.
2.Shomari Kapombe
Shomari Kapombe amewataka wadau wa soka kumpigia kura ili aweze kubeba tuzo hiyo ya Goal, kwani mchango aliotoa kwa timu yake ya Azam msimu uliopita ndiyo kielelezo kikubwa cha yeye kuwa mshindi wa tuzo hiyo.
Kapombe ndiyo beki pekee aliyefunga mabao mengi kwenye ligi ya msimu uliopita na kuwazidi baadhi ya washambuliaji akiwepo mfungaji bora wa misimu miwili iliyopita Simon Msuva aliyemaliza na mabao sita.
Comments
Post a Comment