VIDEO: Goli la mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1
June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika mchezo huo Yanga ilifungwa goli 1-0, goli amble lilifungwa na Merveille Bope dakika ya 74
Comments
Post a Comment