Drake ashindwa kuvumilia kwa Rihanna

Drake anajua kuuteka moyo wa Rihanna – kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi.

Rapper huyo amechukua uamuzi huo wa kununua moja kati ya mabango makubwa ya barabarani kutokana na tuzo ya heshima anayotarajiwa kupewa wikiendi hii kwenye tuzo za MTV VMA. “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,” limeandikwa bango hilo.
Baada ya zawadi hiyo, kupitia mtandao wa Instagram, Rihanna ameandika, “When he extra ❤🏆!!!.”
Hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakihusishwa kutoka kimapenzi japo hakuna hata mmoja kati yao aliyethibitisha hilo

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU