Inasemekana kuwa, au kwa uelewa wangu mdogo kuwa Binti kigoli ni mwanamke ambae bado hajamjua mme au hajafikia umri wa mtu kufanya mapenzi. Wengine pia hujiita kigoli hata wanapokuwa hawajamjua mwaname hata baada ya kuwa wamefikisa umri huo. Msikie huyu. Mimi ni Msichana wa Miaka 26 ..uwezi amini mpaka sasa sijawahi guswa na Mwanaume hata mmoja kwa maana hiyo nipo Bikira Kabisa... Mimi ni Mwalimu wa Shule ya Msingi moja hapa Dar ..Wenzangu nikiwaambia hawaamini kabisa kuwa mpaka umri huu nipo Kigoli wengine wanasema eti nina matatizo.. NAPENDA KUSEMA HAYA "With the influence of sex almost everywhere in the world of today I will still remain a virgin until my wedding night. It is the only respect I can reward my body. And this way I cannot worry about sexual transmitted diseases and unwanted pregnancies. I believe that I am not abnormal as others may think. I am physically and mentally fit. I am just keeping myself clean."Jesca.
Wewe kama mwanamme au mwanamke, najua unahitaji sana kulitunza penzi lako na kufanya lidumu milele kama wenyewe mnavyosema. Lakini wacha nikwambie kutunza penzi si ghalama kama watu wengi wanavyodhani, ila kuna vitu vichache ambavyo ukivifanya basi utadumu naye. Maana ingekuwa mapenzi ni ghalama basi maskini wasinge dumu kwenye mapenzi yao, lakini badala yake maskini ndiyo wanaongoza kudumu katika ndoa Na hizi ni hatua 10, ukizifanya mtadumu. (1) Kushukuru /Thanks You Kwa kawaida wasichana huwa wanapenda sana kusikiliza maneno yanayotoka midomoni, mwa wapenzi wao. Hivyo kumfurahisha mpenzi wake, ni lazima kumshukuru kwa chochote atakachokufanyia kwa kusema hasante, hata kama ukimtuma akakuletee soda kwenye friji, au kitu chochote, hata kama alichokuletea si sahihi kumkosoa papo hapo ni bora kumshuruku na kumwambia taratibu. KUWAPAMOJA / CROWD Mwanamke anapenda sana kuongozana na mpenzi wake...
Comments
Post a Comment