Mark Clattenburg kuchezesha Manchester Derby Jumamosi hii

Mark Clattenburg ametangazwa kuwa ni mwamuzi katika Manchester Derby Jumamosi hii katika uwanja wa Old Trafford.

Waamuzi wengine ni Mike Dean aliyetajwa kama kamishna wa mchezo (fourth official), wakati Jake Collins na Steve Bennett wametajwa kukaa pembeni kushika vibendera.
Clattenburg alichezesha fainali ya Uefa Champions League 2015-16 na Euro 2016

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU