Taarifa:Wenye Majina Haya Hapa Wanaitajika Mahakama Kuu ya Tanzania
Tunaomba kutoa taarifa kuwa, wenye majina na anuani hapo chini ambao ni watumishi/walikuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanahitajika kupata taarifa muhimu na maalum juu ya masuala yahusuyo Utumishi wao: Wafike na kuonana na Bibi. Agatha Ng’ingo – Mkurugenzi Msaidizi- Idara ya Utawala na Utumishi, namba ya simu (0673 – 001 773) ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
S/N |
JINA KAMILI
|
CHEO
| KITUO CHA KAZI |
C/N
| |
1 |
BW. ROBERT WILLIAM CHAGAKA
|
DEREVA II
|
MAHAKAMA YA WILAYA IRAMBA
| 111824992 | |
2 |
BW. GODLISTEN MOSES MWANRI
|
DEREVA II
|
MAHAKAMA YA WILAYA KISHAPU
|
111827839
| |
3 |
BI. AGNES AUDAX RWEGOSHORA
|
HAKIMU MKAZI II
|
MAHAKAMA YA MWANZO UJIJI KIGOMA
| 111838464 | |
4 |
BI. HAPPINESS ELIAS MISHWARO
|
HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO MWANDAMIZI
|
MAHAKAMA YA WILAYA MBARALI
|
10915901
| |
5 |
BW. BARAKA JAFARI MUKAMA
|
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
|
MAHAKAMA YA WILAYA ILALA
|
9927780
| |
6 |
BW. RAMADHANI MOHAMED KILYOUSUNGU
|
MLINZI
|
MAHAKAMA YA WILAYA RUFIJI
|
9496501
| |
7 |
BI. REHEMA SAMWEL PANDAPANDA
|
HAKIMU MKAZI II
|
MAHAKAMA YA WILAYA MPWAPWA
|
9927919
| |
8 |
BI. HAWA GODREY MKUMBO
|
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
|
MAHAKAMA YA WILAYA KASULU
|
8203232
| |
9 |
BW.CHRISTINA JOHN MAYILA
| MSAIDIZI WA OFISI MWANDAMIZI | MAHAKAMA YA WILAYA KAHAMA |
7758540
| |
10 |
BW. YASSINI WAZIRI MASELE
| MLINZI | MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI SINGIDA | 111400187 | |
11 |
BW. JOSEPH FRANCIS BOMA
| MLINZI | MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI SINGIDA |
111397724
| |
12 |
BW. BRUTON RABIEL KIMARO
| MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MANYARA | 7203497 | |
13 | ABIHUDI GILLIARD MASEU | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | MAHAKAMA KUU ARUSHA |
5187924
| |
14 |
HUSSEIN HASSAN BACHOO
| AFISA UGAVI I | DAR ES SALAAM |
5529186
| |
15
| ASHA MAGOMBA ABDALLAH | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | MAHAKAMA YA WILAYA MONDULI |
111827925
| |
16 | BW. AMRI MUSSA RASHIDI | MLINZI | MAHAKAMA YA WILA
YA TANDAHIMBA
|
9544435
|
Imetolewa na,
MTENDAJI MKUU.
Comments
Post a Comment