Baada ya matukio ya ujambazi, Kamanda Sirro kaitoa hii taarifa


MIX Baada ya matukio ya ujambazi, Kamanda Sirro kaitoa hii taarifa

Ikiwa takribani wiki moja na nusu zimepita tangu askari wanne na ofisa mmoja wa polisi kufariki kwa kushambuliwa na majambazi kwenye matukio mawili ya kukabiliana na majambazi likiwemo lile la Vikindu Mkuranga mkoani Pwani na tukio jingine la ujambazi lililofanyika Mbande Dar es salaam.

Jeshi la polisi lilichukua hatua mbalimbali za kutafuta wahusika na leo September 5 2016 Kamishna wa polisi kanda maalum ya  Dar es salaam, Simon Sirro amekutana na waandishi wa habari kutoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi watatu ambao wamepatikana na silaha 23, risasi 835,  bullet proof 03, sare za polisi, Pingu 48 radi0 call 12.

Naomba  tulinde amani yetu

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU