Ukweli Kuhusu Degree ya Miss Tanzania 2016
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema ni kuwa yeye ni Applicant wa IFM. Sasa sijajua hiz rumors zinatoka wapi. Please cheki hii video kuanzia dk ya 8.
Miss kinondoni 2016.
Miss kinondoni 2016.
Comments
Post a Comment