Ufaransa kupinga ufadhili wa nje wa misikiti

Image copyrightGETTY
Image captionManuel Valls

Waziri mkuu wa Ufaransa Manuel Valls amesema kuwa huenda akapendekeza kupigwa marufuku kwa muda ufadhili wa misikiti kutoka nje kufuatia mashambulio ya hivi karibuni yanayotekelezwa na wana jihad.
Akizungumza na gazeti la Le Monde ,bwana Valls pia amewataka maimamu wote wa Ufaransa kupewa mafunzo ndani ya Ufaransa na wala sio nje ya taifa hilo.
Amesema ni wakati ambapo Ufaransa inafaa kujenga uhusiano mpya na Islam,akitaja vita dhidi ya itikadi kali kama jukumu la kizazi hiki.

Image copyrightAFP
Image captionWatu wakisali katika msikiti Ufaransa

Serikali ya Ufaransa imekosolewa kwa kushindwa kuzuia mashambulizi matatu katika kipindi cha miezi 18 iliopita

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU