Visa vya kwanza vya maambukizi ya Zika Marekani


Image copyright
Image captionMbu anayeambukiza Zika
Watu wanne wanaougua virusi vya Zika mjini Florida huenda ndo visa vya kwanza vya maambukizi nchini Marekani ,kwa mujibu wa maafisa wa afya nchini humo. Kufikia sasa ,visa nje ya Marekani kusini na Visiwa vya Caribbean ambapo virusi hivyo vimeenezwa na watu wanaotembelea eneo hilo am kupitia kushiriki ngono na walioambukizwa. Visa vinne vya Florida vinazua uwezekano kwamba mbu nchini Marekani wanaweza kubeba virusi hivyo. Virusi vya Zika vinasababisha ugonjwa mkali miongoni mwa watu wengi lakini virusi hivyo vinahusishwa na kasoro ya ubongo miongoni mwa watoto wachanga

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU