Unaambiwa Huyu Hapa Ndio Mtoto Mnene zaidi Dunia

Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani ameanza kupewa chakula cha kupunguza uzani kwa kuwa wazazi wake wanahofia afya yake.
Image copyrightBBC INDONESIA

Arya Permana ana uzani wa kilo 188 na ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida.

BBC ilizungumza na mamaake Rokayah huko Karawang Indonesia ambaye ana wasiwasi sana kuhusu afya ya mwanawe

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU