Mwanadada Afanikiwa Kuyagonga Kwa Gari Majambazi 4 Yaliyompora Fedha Kwa Kumtishia na Bunduki

Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,

dada akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa Video:


Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU