Ajali ya basi la SUPERSHEM yaua 11 mkoani MWANZA

Watu 11 wanahofiwa kufa katika ajali iliyohusisha basi la SUPERSHEM na daladala katika barabara kuu ya MWANZA – SHINYANGA
Watu 11 wanahofiwa kufa katika ajali iliyohusisha basi la SUPERSHEM na daladala katika barabara kuu ya MWANZA – SHINYANGA.
Akizungumza na TBC kwa njia ya simu Mkuu wa mkoa wa MWANZA, JOHN MONGELLA amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema taarifa zaidi kuhusu tukio hilo zitatolewa baadae.
Amesema kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa MWANZA inaelekea katika eneo la ajali wilayani KWIMBA.
Taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo tutawaletea katika taarifa zetu za habari zijazo.

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU