TBC yaendesha Harambee ya kuchangia waathirika wa tetemeko la Ardhi KAGERA


Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, NAPE NNAUYE ameanza kupokea msaada kupitia harambee
Mwenyekiti wa Kampuni ya Skol Building Contractors Limited Bw.Vincent Massawe (kushoto) akikabidhi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. NAPE NNAUYE
Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, NAPE NNAUYE ameanza kupokea msaada kupitia harambee iliyoandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kwa ajili ya waathirika tetemeko la ardhi lilitotokea mkoani KAGERA mapema mwezi huu.
        
Akipokea mchango wa shilingi milioni 10 uliotolewa na kampuni ya  ujenzi  ya SKOLL BUILDING CONSTRUCTORS LTD jijini DAR ES SALAAM, Waziri NNAUYE amewataka wadau wengine kujitokeza kuwasaidia waathirika hao.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa BUILDING CONSTRUCTORS LTD VINCENT PETER amewaomba wafanyabiashara kutoa michango yao ILI kuwasaidia waathirika wa tetemeko hilo.

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA KIGOLI?. AU BINTI KIGOLI

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU