Maroune Fellain: Wachezaji Manchester United tunatakiwa kuwajibika
Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Maroune Fellain amekiri kuwa wapo katika wakati mgumu baada ya kupoteza michezo mitatu mfululizo
Fellain amefunguka kuwa yeye na wachezaji wenzake wanatakiwa kuwajibika katika hali chanya wakianza na mchezo wa kesho jumatano wa EFL Cup dhidi ya Northampton.
Wakati akiongea na kituo cha TV cha France SFR Sport Fellain amesema.
“Tunaweza kusema ni anguko dogo kwa sababu klabu Man United haiwezi kupoteza mechi 3 ”
“Ndiyo ni dogo , lakini sisi ni wanaume na lazima tusimame pamoja na kuonesha”
“Ndiyo ni dogo , lakini sisi ni wanaume na lazima tusimame pamoja na kuonesha”
Comments
Post a Comment