Picha: Ndege ya kwanza ya ATCL yatua Dar
Hatimaye mwali amewasili. Ni ndege ya kwanza ya ATCL, Bombadier Q400 NextGen.
Ndege ya pili itawasili baada ya wiki moja na Rais John Magufuli ataongoza mapokezi rasmi ya ndege hizo
Ndege hiyo imetokea Canada ilikotengenezwa na kupokelewa kwa shangwe huku mapokezi hayo yakiongozwa na katibu mkuu wa uchukuzi, Dkt Leonard Chamriho
Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 76 ambao ni tofauti na wahudumu na RubaniNdege ya pili itawasili baada ya wiki moja na Rais John Magufuli ataongoza mapokezi rasmi ya ndege hizo
Comments
Post a Comment